Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morrison ni funzo kwa waliokata tamaa

Morrison Aanza Mazoezi Mepesi Morrison ni funzo kwa waliokata tamaa

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni funzo hata kwenye Maisha ya kawaida, Ukiteleza Simama tena na usikubali kukata tamaa, Usiogope kuzodolewa na Waja unapoteleza.

Ndio, Wote ambao tuliowahi kuzodolewa na kutokubali kushindwa tulifanya hivyo , tuliinuka tukasimama tena kisha tukashinda.

Morrison @bm3gh hafiki mbali na hana kitu lakini ni Mwanamme halisi wa kiafrika, ametupa somo kubwa jana katika maisha.

Ukishakuwa na Malengo yako usikubali kuangushwa kisha eti ukae kitako, Morrison tusimpe Maua tumpe Asumini zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live