Klabu ya APR ya Rwanda inahitaji huduma ya nyota wa zamani wa AS Vita Club, Young Africans, Simba SC na Orlando Pirates, Bernard Morrison ambaye mkataba wake na waajiri wake wa sasa AS FAR Rabat unamalizika Juni 30, 2024.
Klabu ya APR ya Rwanda inahitaji huduma ya nyota wa zamani wa AS Vita Club, Young Africans, Simba SC na Orlando Pirates, Bernard Morrison ambaye mkataba wake na waajiri wake wa sasa AS FAR Rabat unamalizika Juni 30, 2024. Kwa mujibu wa Edmund Okai Gyimah kutoka The New times [Rwanda] amethibitisha kuwa APR tayari wamefanya mawasiliano na mchezaji huyo na mambo yakienda sawa atakuwa mchezaji wao.