Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morrison bado anautaka uraia wa Tanzania

MorrisonWA0023 Morrison bado anautaka uraia wa Tanzania

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliekuwa Mchezaji wa Yanga Sc na SimbaSc, Bernard Morrison na raia wa Ghana amefunguka kuwa bado anaomba uraia wa Tanzania na amekuwa akifanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwijuma 'Mwanafa' ili amsaidie apate uraia wa TZ.

Aliekuwa Mchezaji wa Yanga Sc na SimbaSc, Bernard Morrison na raia wa Ghana amefunguka kuwa bado anaomba uraia wa Tanzania na amekuwa akifanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwijuma 'Mwanafa' ili amsaidie apate uraia wa TZ. Morrison amesikika kwenye kipande cha video kinachomuonesha akiwa na Bongo Zozo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live