Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morocco yatingo Robo Fainali Kombe la Dunia U-17

Morocco 3 0 Algeria 2023 Afcon U17.jpeg Morocco yatingo Robo Fainali Kombe la Dunia U17

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Morocco imetinga robo fainali ya kombe la Dunia kwa wachezaji wa umri chini ya miaka 17 kufuatia ushindi wa penalti 4-1 baada ya muda wa kawaida kumalizika kwa sare ya 1-1 kwenye hatua ya 16 bora.

Timu ya Taifa ya Morocco imetinga robo fainali ya kombe la Dunia kwa wachezaji wa umri chini ya miaka 17 kufuatia ushindi wa penalti 4-1 baada ya muda wa kawaida kumalizika kwa sare ya 1-1 kwenye hatua ya 16 bora. Morocco watakutana na wawakilishi wengine wa Afrika, Mali kwenye hatua ya robo fainali huko Indonesia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live