Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morocco yakunja bil 58.5 Kombe la Dunia

Kombe Morocco Morocco yakunja bil 58.5 Kombe la Dunia

Sun, 18 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya Morocco imefanikiwa kuvuna jumla ya dola za Kimarekani milioni 25 sawa na Tsh. bilioni 58.523 baada ya kufanikiwa kumaliza nafasi ya nne kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar.

Timu ya taifa ya Morocco imefanikiwa kuvuna jumla ya dola za Kimarekani milioni 25 sawa na Tsh. bilioni 58.523 baada ya kufanikiwa kumaliza nafasi ya nne kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar. Croatia walioshinda nafasi ya tatu wamejishindia dola milioni 27 sawa na Tsh. bilioni 63, mshindi wa pili kati ya Ufaransa na Argentina leo atavuna dola milioni 30 sawa na Tsh. bilioni 70 huku bingwa wa michuano akivuna dola milioni 42 sawa na Tsh. bilioni 98.319.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live