Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morocco Wanaamini wao ni wa Ulaya sio Waafrika

Morocco To Quarter Final Morocco Wanaamini wao ni wa Ulaya sio Waafrika

Tue, 13 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu asili ya taifa la Morocco ambapo wenyewe wanaamini asili yao ni Ulaya na Uarabuni.

"Wao Wa-Morocco wanaamini wapo katika Bara la Afrika kijiografia na Kisiasa lakini kiasili wao sio Waafrika. (Unapomsikia Mussa Hussein (@mwanadsm) anapojiita yeye ni Mwana Dar es Salaam yeye si Mtu wa Dar kiasili yeye anatokea mkoa wa Mara).

"Kwahiyo wao Wa-Morocco wanasema mizizi yao haipo Afrika ipo nchi za Ulaya na Kiarabu. Na wao wanasema wanapofanya wanafanya kwa ajili ya Waarabu na wanaoingia uwanjani huwa Wana Bendera ya Palestina, Iran, Iraq hao ndio wanawapigania" James Tupatupa (@jamestupatupa)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live