Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morisson nje msimu mzima FAR Rabbat

Morisson Upasuaji Morisson nje msimu mzima FAR Rabbat

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bernard Morrison anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa muda wote uliosalia wa msimu huu baada ya kupata jeraha kwenye mguu wake kulia wakati wa mazoezi na Klabu yake ya AS FAR Rabat.

Bernard Morrison anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa muda wote uliosalia wa msimu huu baada ya kupata jeraha kwenye mguu wake kulia wakati wa mazoezi na Klabu yake ya AS FAR Rabat. Mchezaji huyo wa zamani wa Yanga na Simba SC atafanyiwa upasuaji siku chache zijazo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live