Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morisson aweka rekodi mpya kwa Timu za Sauzi

Morisson Ben South Morisson aweka rekodi mpya kwa Timu za Sauzi

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison ameendelea kuweka rekodi dhidi ya timu za Afrka Kusini katika michezo ya kimataifa.

Msimu uliopita akiwa na Simba katika mchezo wa robo fainali kombe la shirikisho dhidi ya Orlando Pirates bao pekee la Simba kwa njia ya penati alisababisha yeye ,Simba wakaibuka na ushindi kwa Mkapa.

Katika mchezo ya jana kombe la shirikisho dhidi ya Marumo Gallants alifunga bao la pili goli muhimu kwa Yanga ambalo limeongeza matumaini zaidi kwa Yanga kutinga katika hatua ya fainali michuano ya kombe la shirikisho

Chanzo: www.tanzaniaweb.live