Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morisson arejea kikosini Yanga, kuwavaa Real Bamako bado Kitendawili

Morisson X Dakika Bernard Morrison

Mon, 6 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Yanga, Bernard Morrison ameanza mazoezi na wenzake mara baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yanamkabili.

Licha ya kupona majeraha yake ila kuna uwezekano Mkubwa wa Nyota huyo kuwakosa Real Bamako ambapo watacheza dhidi ya Yanga Machi 8,2023, Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Morisson alikuwa nje ya kikosi kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja yakiyokuwa yanamkabili.

Katika kipindi ambacho Morisson alikuwa nje alikosa michezo dhi ya US Monastir (A), TP Mazembe (H), KMC(A) na AS Real Bamako (A).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live