Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Morisson akiwepo uwanjani goli uhakika" Gomez

Morisson.jpeg Bernard Morisson

Mon, 11 Oct 2021 Chanzo: Habarileo

Kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes amemwagia sifa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Bernard Morisson akisema atakuwa na mchango mkubwa kwa timu hiyo.

Gomes amesema kama mchezaji huyo ataacha mashara yake na kuwa makini basi kuna uwezekano mkubwa akachukuliwa na timu kubwa Afrika.

"Nafurahi kuona adhabu yake imekwisha na anarudi kikosini ni mchezaji ambaye uwepo wake uwanjani unakupa uhakika wa bao au ushindi bila kujali ukubwa wa wapinzani, " Gomes.

Chanzo: Habarileo