Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morata yupo fiti kuwavaa Inter UEFA

Alvaro Morata 2022 Alvaro Morata

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Atletico Madrid Alvaro Morata atakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili klabu ya Inter Milan kwenye mchezo wa UEFA utakaopigwa nchini Italia.

Morata aliumia kwenye mchezo dhidi ya Sevilla waliopoteza kwa goli 1-0.

Timu hizi zimewahi kukutana mara mbili na hakuna timu iliyowahi kushinda katika Uwanja wake wa nyumbani. Atletico ilishinda 2-0 mwaka 2010 kwenye dimba la Giuseppe Meazza ambalo watakipiga hapo kesho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live