Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Montse Tome ateuliwa kuwa Kocha wa Hispania

Montse Tome Montse Tome

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Montse Tome ameteuliwa kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya wanawake ya Hispania.

Montse Tome Alikuwa kocha msaidizi chini ya Jorge Vilda wakati Hispania ilipotwaa Kombe la Dunia mwaka huu 2023.

REKODI: Tome ndiye mwanamke kwanza kuiongoza timu ya taifa ya Hispania ya wanawake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live