Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moloko alivyopindua meza kibabe Yanga

Moloko Er Winga wa Yanga, Jesus Moloko

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dirisha lililopita Jesus Moloko alibakiza hatua chache kutemwa lakini kiwango alichokionyesha baada ya hapo jamaa amepindua meza na sasa yuko hatua za mwisho kusaini mkataba mwingine.

Msimu huu ameshafunga mabao matatu, mawili kwenye ligi na moja kwenye Shirikisho Afrika.

Tayari Moloko amekuwa na uhakika wa kupata namba ndani ya kikosi cha Nasreddine Nabi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live