Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Molinga: Kwa Guede Yanga wamepata Mshambuliaji

Joseph Guede Ds Joseph Guede

Tue, 23 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliekuwa Mshambuliaji wa Yanga David Molinga amesema Mshambuliaji mpya wa Yanga, Joseph Guede ni mpambanaji kama alivyokuwa Fiston Mayele hivyo anaendana na mpira wa Tanzania.

Aliekuwa Mshambuliaji wa Yanga David Molinga amesema Mshambuliaji mpya wa Yanga, Joseph Guede ni mpambanaji kama alivyokuwa Fiston Mayele hivyo anaendana na mpira wa Tanzania. Endapo Guede akitulia, Molinga amesema nyota huyo anaweza kuwa na jina kubwa zaidi Tanzania sababu ni Mshambuliaji mzuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: