Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moises Caicedo awapiga na kitu kizito Chelsea, Arsenal

Moises Caicedo 65 Kiungo wa klabu ya Brighton Moises Caicedo

Sun, 5 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa klabu ya Brighton Moises Caicedo ametia saini ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Klabu hiyo hadi mwezi Juni 2027 wenye chaguo la kuongeza mwaka mmoja zaidi.

Kiungo wa klabu ya Brighton Moises Caicedo ametia saini ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Klabu hiyo hadi mwezi Juni 2027 wenye chaguo la kuongeza mwaka mmoja zaidi. Ikumbukwe Brighton walikataa kiasi cha £55m kutoka Chelsea na £70m kutoka Arsenal mwezi Januari kwaajili ya uhamisho wa kiungo huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live