Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Modric aingia kwenye rekodi za La Liga

Luka Modric Vs Sevilla Luka Modric

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika umri wa miaka 38 na siku 169, Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric amekuwa mchezaji wa pili mwenye umri mkubwa zaidi kufunga bao kutoka nje ya eneo la 18 katika La Liga tangu msimu wa 2003/04, baada ya Jorge Molina (akiichezea Benido - mabao mawili akiwa na miaka 40 na siku 15).

Katika umri wa miaka 38 na siku 169, Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric amekuwa mchezaji wa pili mwenye umri mkubwa zaidi kufunga bao kutoka nje ya eneo la 18 katika La Liga tangu msimu wa 2003/04, baada ya Jorge Molina (akiichezea Benido - mabao mawili akiwa na miaka 40 na siku 15). Luka Modric amefunga bao hilo dhidi ya Sevilla juzi Jumapili katika ushindi wa bao 1-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live