Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Salah mchezaji bora wa PFA wa mwezi

Mo Salah Pfa Mo Salah mchezaji bora wa PFA wa mwezi

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah amepigiwa kura na mashabiki kuwa Mchezaji Bora wa mwezi wa Septemba wa Ligi Kuu ya EPL kwa Wachezaji Soka wa Kulipwa (PFA).

Salah ambaye ni raia wa Misri, amewashinda Haaland, Maddison, Son, Saka na Trippier kushinda tuzo hii.

Salah mwenye umri wa miaka 31 ameichezea Liverpool mechi 11 hadi sasa msimu huu, na amechangia mabao 8 na asisti 4.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live