Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Salah aingia kwenye Vitabu vya Rekodi Liverpool, England

Salah Mo 120 Winga wa Liverpool, Mohammed Salah

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa ‘klabu’ ya LiverPool, Mo Salah amekuwa mchezaji wa kwanza wa Kiafrika kufikisha mabao 150 katika Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kufunga ‘goli’ la kusawazisha dakika ya 76 dhidi ya ‘klabu’ ya CrystalPalace.

Palace walianza kujipatia bao dakika ya 57 kwa mkwaju wa ‘penati’ ambayo ilipigwa na Jean-Philippe Mateta kabla ya Mohamed Salah kufunga goli la 150 katika ‘mechi’ 200 akiwa katika ‘klabu’ hiyo

‘klabu’ ya Liverpool ilitoka na ushindi wa bao 1-2 huku ikiwa imesimama kileleni katika Ligi Kuu ya Uingereza ikiwa na alama 37.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live