Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji kuwekeza Express FC ya Uganda, anaikacha Simba?

Mo Dwji Ugz Mo Dewji Express FC ya Uganda

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfadhili Wa Simba SC na tajiri namba 17 barani Afrika Mohammed Dewji yuko mbioni kununua hisa asilimia 51% katika Klabu ya Express FC ya nchini Uganda.

Baada ya kuwekeza katika Klabu za Tanzania sasa ni rasmi Mohammed amedhamiria kuwekeza Uganda.

Express FC msimu huu imeshika nafasi ya 10 katika msimamo wa Ligi iyo ikiwa na jumla ya alama 32 Ikiwa imefunga magoli 36 na kuruhusu magoli 38.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live