Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji kukabidhiwa Simba muda wowote

Mangungu Mo Dewji Mo Dewji.

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rasmi sasa Klabu ya Simba inakwenda kukamilisha Chakato wake wa Mabadiliko ambao amesua sua kwa muda mrefu baada ya kukamilisha vizuizi ambavyo vilionekana kukwamisha kwa zoezi hilo muhimu.

Rasmi sasa Klabu ya Simba inakwenda kukamilisha Chakato wake wa Mabadiliko ambao amesua sua kwa muda mrefu baada ya kukamilisha vizuizi ambavyo vilionekana kukwamisha kwa zoezi hilo muhimu. Akizungumza na Waandishi baada Mkutano Mkuu wa Simba SC Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu hiyo, Salim Abdallah ‘Try Again’ amesema sasa wamekamilisha walichotakiwa kufanya na taasisi za Serikali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live