Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji atuma salamu Young Africans

Mo Salamu Yanga Mo Dewji atuma salamu Young Africans

Thu, 10 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji "Mo dewji" ameipongeza Klabu ya Yanga kufuatia kufuzu hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Yanga imefuzu hatua ya Makundi baada ya kuichapa Club Africain kutoka Tunisia kwa bao 1-0 lililopachikwa na Aziz Ki kipindi cha pili.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mo ameandika;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live