Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji ateua bodi mpya Simba, Try Again, Magori wamo

Mo Dewjiii Mo Dewji

Sun, 16 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwekezaji wa Klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji 'Mo Dewji', ameteua wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba Sc upande wa Mwekezaji.

TAARIFA KWA UMMA:

Kwa mamlaka niliyopewa kulingana na Mkataba wa Makubaliano na Simba Sports Club Limited (Memorandum of Association) na Kanuni za Makubaliano (Articles of Association), ibara ya 40; ningependa kuwatambulisha wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi kwa upande wa Mwekezaji.

Salim Abdallah (Try Again) Husein Kita Zulfikha Chandu Rashid Shangazi Mohamed Nassor Crescentius Magori.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live