Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji ambakisha Ayoub Lakred Simba hadi 2025

Lakred Ayoub Trsns Mo Dewji ambakisha Ayoub Lakred Simba hadi 2025

Sun, 16 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipa wa Simba raia wa Morocco, Ayoub Lakred ametia saini mkataba mpya wa kuitumikia Simba SC hadi Juni 2025.

Ayoub ataendelea kusalia Msimbazi kwa msimu mmoja zaidi baada ya kufanya vyema katika mwaka wake wa kwanza.

Ayoub yuko nyumbani kwao nchini Morocco kwa likizo na familia yake na hatoenda Dubai kukutana na mwekezaji wa timu hiyo, Mo Dewji kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.

Shabiki wa Simba umefurahishwa kiasi gani na habari hizi za Ayoub kusalia Msimbazi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live