Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji aipongeza TP Mazembe

Mo Dewji: Tunahitaji Golikipa Mwingine Simba Mo Dewji aipongeza TP Mazembe

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji Mo amewapa maua yao TP Mazembe ya nchini DR Congo mara baada ya kushinda goli moja kwa bila dhidi ya Esperance De Tunis ya nchini Tunisia.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa; "Hongera TP Mazembe"

Mchezo huo ulipigwa pale kwa Mkapa TP Mazembe wakiutumia dimba hilo kama dimba lao la nyumbani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live