Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji afunguka Sakata la Babra kuzuiwa kuingia kwa Mkapa

Mo Simba Dewji Mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba

Sun, 12 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji "Mo Dewji" amelaani kitendo cha Mtendaji mkuu wa Simba Sports Club, mwanamama Babra Gonzales kuzuiliwa kuingia uwanjani Jumamosi ya Disemba 11 kutazama mchezo baina ya Simba na Yanga.

CEO wa Simba Babra Gonzales siku ya Jana ameilalamikia bodi ya Ligi kwa kumkatalia kuingia uwanjani licha ya kuonesha tiketi lakini baadae Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF kupitia Afisa Habari wake, walieleza sababu ya Kiongozi huyo kuzuiwa kuingia Uwanjani hapo.

Tazama hapa chini alichokisema Mo Dewji;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live