Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji: Simba inanipa raha zaidi

Mo Dewji Mkapa Mo Dewji

Wed, 21 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya minong'ono inayoendelea chini kwa chini kuwa mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba anafikiria kujiondoa lakini hilo linaweza lisiwe na ukweli ndani yake.

Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji kupitia akaunti ya Instagram ameandika;

"Vaibu la juzi lilikuwa zuri sana katika fainali Kombe la Dunia. Nina furaha kwa Argentina ila mafanikio ya Simba ndio yananipa furaha zaidi ????,"

Ujumbe huu wa Mo ni ishara tosha kuwa ana furaha kuwepo Simba na mafanikio ya Simba ndicho kitu anachokihitaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live