Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mnigeria anavyowagaragaza wazungu Bundasliga

Victor Boniphace Nigeria Mshambualiji wa Bayer Leversen na Nigeria Victor Boniface

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mnigeria mwingine huyu hapa Victor Boniface wa Bayer Leverkusen ana umri wa miaka 22 na ameweka historia katika Bundesliga msimu huu.

Ameshinda tuzo nne mfululizo za Rookie kwenye miezi minne mfululizo

Agosti: Mchezaji Bora wa Mwezi

Agosti: Rookie wa Mwezi

Septemba: Rookie wa Mwezi

Oktoba: Rookie wa Mwezi

Novemba: Rookie wa Mwezi

Hadi sasa tayari ana mabao 14 na pasi 6 za mabao katika mechi zote .

Rookie ni tuzo wanayopewa wachezaji chipukizi kwenye Ligi ya (Bundesliga )wanaofanya makubwa kwenye kila mwezi lakini wale tu wenye umri chini ya miaka 23

Chanzo: www.tanzaniaweb.live