Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mmemsikia Luka Modric lakini?

Luca Modric Luka Modric

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo fundi wa Reala Madrid na Timu ya Taifa ya Croatia, Luka Modric ametoa kauli inayoonesha ni kwa sababu gani anafanya vyema kila kukicha licha ya umri wake kuonekana kusogea.

Modric mwenye umri wa miaka 38 anasema;

“Mpira ni mchezo unaochezwa kichwani. Unaweza kutumia nguvu zako zote unazotaka, lakini kuna kitu kinaitwa footballing intelligence ambacho ni muhimu sana. Siku zote, Mwili hauwezi kuchukua nafasi ya akili."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live