Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlinzi wa Chelsea kuibukia Dortmund

Mlinzi Chelsea Mlinzi wa kushoto wa Chelsea Ian Maatsen

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kushoto wa Chelsea Ian Maatsen yuko mbioni kujiunga na Borussia Dortmund kwa mkataba wa mkopo hadi mwisho wa msimu huu.

Mlinzi wa kushoto wa Chelsea Ian Maatsen yuko mbioni kujiunga na Borussia Dortmund kwa mkataba wa mkopo hadi mwisho wa msimu huu. Ian Maatsen atasafiri leo Jumanne kuelekea Ujerumani, Vipimo vya afya vitafanyika siku ya Jumatano ili kukamikisha uhamisho huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live