Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlichagua Uwanja wa Uhuru, kwa nini leo mtake Chamazi?

Simba Power Ms.jpeg Mlichagua Uwanja wa Uhuru, kwa nini leo mtake Chamazi?

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi TPLB imekataa ombi la Simba SC la kutaka kuutumia uwanja wa Azam Complex kwenye mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Coastal Union

Simba SC imeomba kuutumia uwanja huo ili kuuzoea kwani ndio uwanja watakaoutumia kwenye mchezo wao wa marudiano ya CAF Champions League dhidi ya Power Dynamos.

Bodi ya ligi TPLB imewataka Simba SC kuendelea kuutumia uwanja wa uhuru kwasababu ndio uwanja ambao waliuchagua kama uwanja wao wa nyumbani baada ya Benjamin Mkapa kuwa kwenye Ukarabati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live