Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlandege haoo nusu Fainali Mapinduzi Cup

Mlandege Nusu Fainali Mapinduzi Cup Mlandege haoo nusu Fainali Mapinduzi Cup

Sun, 7 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bingwa Mtetezi, Mlandege FC inasonga mbele hatua ya nusu fainali kwa kushinda mikwaju ya penalti 3-2 dhidi ya KVZ.

Bingwa Mtetezi, Mlandege FC inasonga mbele hatua ya nusu fainali kwa kushinda mikwaju ya penalti 3-2 dhidi ya KVZ. Mlandege wanamsubiri mshindi katika mchezo wa usiku kati ya Yanga SC dhidi ya APR ya Rwanda kuwania ubingwa wa michuano ya 18 ya Kombe la Mapinduzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live