Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlandege: Tutatetea ubingwa Mapinduzi Cup

Mlandege RXE.jpeg Mlandege: Tutatetea ubingwa Mapinduzi Cup

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi 2023, Oscar Evaristo Sika amesema wapo tayari kuikabili APR ya Rwanda katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mnamo Januari 10 katika Uwanja wa New Amaan complex.

Mchezaji wa Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi 2023, Oscar Evaristo Sika amesema wapo tayari kuikabili APR ya Rwanda katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mnamo Januari 10 katika Uwanja wa New Amaan complex. Sika ameyasema hayo katika viunga vya uwanja wa Amaan, mara baada kufanikiwa kusonga mbele hatua ya nusu fainali kwa kushinda mikwaju ya penalti 3-2 dhidi ya KVZ jana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live