Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mlandege, Azam FC kufungua Pazia la Mapinduzi Cup 2024

Uwanja Wa Amaan ZNZ KKK.jpeg Mlandege, Azam FC kufungua Pazia la Mapinduzi Cup 2024

Thu, 28 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pazia la michuano ya Mapinduzi Cup 2024 linafunguliwa leo kwa mechi ya Mlandege dhidi ya Azam FC.

Pazia la michuano ya Mapinduzi Cup 2024 linafunguliwa leo kwa mechi ya Mlandege dhidi ya Azam FC. Mechi hiyo itapigwa saa 10:15 jioni katika Uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar huku mechi ya pili ikipigwa saa 2:15 usiku ikiwakutanisha Vital'O dhidi ya Chipukizi United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live