Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkwasa abwaga manyanga Ruvu Shooting

Mkwassa Mkwasa abwaga manyanga Ruvu Shooting

Mon, 5 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Charles Boniface Mkwassa Master ameamua kujiuzulu Ruvu Shooting baada ya mwenendo usioridhisha.

Mkwassa ametangaza hayo kupitia Sports HQ ya EFM muda mfupi uliopita ambapo amesema anapisha jahazi hilo lichukuliwe na mwingine.

Kwenye msimamo wa Ligi Kuu, Ruvu wapo nafasi ya 15 ikiwa na pointi 11, nafasi moja kutoka mkiani kunakoshikiliwa na Polisi Tanzania wenye pointi 9.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live