Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkwasa: Simba wana nafasi kubwa ya kushinda Jumapili

Mkwasa Nyingine Charles Boniphace mkwasa "Master"

Fri, 14 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Joto la Dabi ya kariakoo likizidi kupamba moto, Mchezaji wa Zamani wa Yanga na Kocha Charles Boniphace Mkwasa yeye anawapa Simba nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo.

Wakati Joto la Dabi ya kariakoo likizidi kupamba moto, Mchezaji wa Zamani wa Yanga na Kocha Charles Boniphace Mkwasa yeye anawapa Simba nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo. Akizungumza mkwasa anaamini Simba itashinda kwa sababu ina washambuliaji wengi wenye uwezo wa kufunga magoli kuliko timu ya Yanga ambayo inamtegemea mshambuliaji mmoja pekee ambae ni Fiston Mayele.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live