Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkwasa Abwaga Manyanga Ruvu Shooting

Mkwasa Nyingine Mkwasa Abwaga Manyanga Ruvu Shooting

Wed, 29 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ amechana na Klabu ya Ruvu Shooting ya Pwani.

Mkwasa ametaja sababu ya kuachana na timu hiyo ni matokeo mabovu.

"Nimeamua kuwajibika kutokana na kutotimiza malengo ya klabu. Tumepitia changamoto nyingi hivyo nimeona ni vyema kuacha ili wengine waendelee pale nilipoishia,” amesema Mkwasa.

Kufuatia uamuzi huo wa Mkwasa timu hiyo itaongozwa na Kocha Msaidizi, Rajab Nakuchema wakati uongozi ukiendelea kusaka kocha mkuu kuchukua nafasi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live