Sun, 9 Jul 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limemteua Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga, Wakili Simon Patrick kuwa miongoni mwa Wanasheria 20 watakaoshughulikia migogoro ya wachezaji duniani kote kwa kipindi cha miaka mitatu.
Klabu ya Yanga haikusita kutoa salamu zake za pongezi kwa mtumishi wao kama inavyoonekana taarifa yao hapa chini;
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: