Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkulima apewa dili Old Trafford

Kaleb Cooper.png Mkulima apewa dili Old Trafford

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United imemkabidhi majukumu maalum mkulima maarufu nchini Uingereza, Bwana Kaleb Cooper.

Bwana Cooper amepewa heshima na jukumu la kutunza nyasi za uwanja wa Old Trafford kwa ajili ya mchezo dhidi ya Chelsea utakaochezwa Jumatano usiku.

Cooper ni mmiliki wa shamba maarufu la Clarkson's Farm na shabiki lialia wa Man United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live