Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkude asaini mmoja Yanga

Mkude Vs Mamelodi S Mkude asaini mmoja Yanga

Fri, 24 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga SC imemuongezea Mkataba wa Mwaka Mmoja Kiungo wao Jonas Gerald Mkude.

Klabu ya Yanga SC imemuongezea Mkataba wa Mwaka Mmoja Kiungo wao Jonas Gerald Mkude. Mkataba Wa yanga na Mkude ulikuwa utamatike mwishoni mwa msimmu huu Sasa rasmi amesaini Mkataba Wa mwaka Mmoja kuendeleaaa kuwatumikia yanga Sc.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live