Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkude apewa thank you Yanga

Mkude ZNZ Mkude apewa thank you Yanga

Thu, 11 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mkabaji Jonas Gerald Mkude hatokuwa tena Sehemu ya Kikosi cha Yanga kwa Msimu Ujao na hii ni baada ya Kandarasi yake ya Mwaka Mmoja Kutamatika klabuni hapo,

Kiungo Mkabaji Jonas Gerald Mkude hatokuwa tena Sehemu ya Kikosi cha Yanga kwa Msimu Ujao na hii ni baada ya Kandarasi yake ya Mwaka Mmoja Kutamatika klabuni hapo, Mazungumzo ya kuongeza Mwaka Mwingine yakianza ila Kocha Mkuu aliamua kusitisha na sasa Rasmi Wameachana nae.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live