Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkude aibua maswali Yanga SC

Jonasmkude20 1692954340145 (1).jpeg Mkude aibua maswali Yanga SC

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jonas Mkude Tangu ajiunge na Yanga msimu huu 2023/24 amefanikiwa kucheza mechi moja ya Dabi Tena kaingia kipindi Cha pili katika mchezo fainali ya Ngao ya jamii pale Mkwakwani Tanga.

Tangu hapo mechi za kimataifa hajacheza na juzi wa ligi kuu pia hata benchi hakuwepo kiungo huyo mwenye uzoefu wa kutosha.

Tujiulize kwa class ya Mkude na uzoefu wake wa kucheza dakika chache Tena za mechi moja waswahili wanasema nyota njema inaonekana asubuhi.

Mchezaji ambaye amecheza michuano ya kimataifa kwa misimu mitano mfululizo hawezi kukaa benchi au kuwa chagua la Nne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live