Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkude afuta picha zote za Simba

Jonasmkude20 Mkude afuta picha zote za Simba

Mon, 3 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika jambo lisilo la kawaida kiungo wa zamani wa Simba Jonas Mkude amefuta picha karibia zote akiwa Simba SC kwenye ukurasa wake wa Instagram na kubakiza picha tatu pekee.

Tukio hili linatafsriwa kama Mkude amechukizwa na maamuzi ya klabu hiyo ambayo ameitumikia kwa miaka 13 kumuacha bila heshima.

Hii inahusishwa na kujiunga kwake na wapinzani wa Simba (Yanga SC).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live