Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkongwe wa soka Brazil afariki akiwa na miaka 92

Mario Zagallo First Ever Dual World Champion Dies At 92 800x500.jpeg Mkongwe wa soka Brazil afariki akiwa na miaka 92

Sat, 6 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Legend wa soka nchini Brazil Mario Zagallo amefariki leo akiwa na miaka 92 lakini anakumbukwa zaidi kama binadamu wa kwanza kushinda ubingwa wa Dunia mara mbili mfululizo kama mchezaji lakini pia kama Kocha

Sehemu ya mambo makubwa aliyoyafanya Zagallo ni kushinda Ubingwa wa Kombe la Dunia mara mbili akiwa mchezaji na mara moja akiwa kama Kocha na nyingine kama kocha msaidizi .

MIAKA ALIYOBEBA UBINGWA WA DUNIA 1958 Legend wa soka nchini Brazil MarioZagallo amefariki leo akiwa na miaka 92 lakini anakumbukwa zaidi kama binadamu wa kwanza kushinda ubingwa wa Dunia kama mchezaji lakini pia kama Kocha

Sehemu ya mambo makubwa aliyoyafanya Zagallo ni kushinda Ubingwa wa Kombe la Dunia mara mbili akiwa mchezaji na mara moja akiwa kama Kocha na nyingine kama kocha msaidizi .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live