Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkongwe Man City: Ni City ngumu kuwafunga Anfield

Micah Richards Views Micah Richard

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa zamani wa Manchester City na Aston Villa ambaye kwa sasa ni mchambuzi Micah Richard amesema sio rahisi kwa Manchester City kuzifunga Arsenal au Liverpool.

Beki wa zamani wa Manchester City na Aston Villa ambaye kwa sasa ni mchambuzi Micah Richard amesema sio rahisi kwa Manchester City kuzifunga Arsenal au Liverpool. “Sidhani kama Man City wataifunga Arsenal na Liverpool, Anfield ni uwanja mgumu sana hata nilivyokuwa mchezaji sikuwahi kushinda kwenye uwanja ule”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live