Tue, 1 Aug 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
CEO wa Simba Imani Kajula muda wake umeisha kuitumikia club ya Simba lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote ya kutangazwa CEO mpya au kuongezewa Mkataba kitu ambacho ni kinyume na utaratibu, Simba wanatakiwa kutoa taarifa kuhusu CEO wao.
Imani Kajula alitangazwa kushika wadhifa huo ndani ya Simba SC tarehe Januari 26 mwaka 2023 akapewa Mkataba wa miezi sita mpaka tarehe 26 Julai alitakiwa awe tayari amemaliza mkataba wake na Simba lakini mpaka leo hii yupo kwenye Club ya wakati mkataba wake umeisha.
Sasa je ameongezewa Mkataba? haijulikani maana hakujatolewa taarifa kutoka kwa uongozi wa Simba.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: