Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mjini Magharibi, Arusha mabingwa Soka Taifa Cup

Tanfootball 20211217 1 Mabingwa Taifa Cup

Fri, 17 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

TIMU ya Mkoa wa Mjini Magharibi imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Taifa 2021 kwa mchezo wa soka upande wa wanaume baada ya ushindi wa penalti 2-1 dhidi ya Mara kwenye fainali jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Upande wa wanawake soka, Arusha ndio wameibuka Mabingwa kwa ushindi wa mikwaju ya penalti pia, 4-3 dhidi ya Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live