Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mitrovic kutimkia Saudi Arabia

Aleksandarmitrovic 1200 Aleksandar Mitrovic

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

AL Hilal ya Saudi Arabia ipo hatua za mwisho kukamilisha uhamisho wa straika wa Fulham, Aleksandar Mitrovic, 28.

Taarifa za awali zinaeleza wababe hao wameshafanya makubaliano binafsi na Mitrovic na kinachoendelea ni mazungumzo baina mabosi wa timu zote juu ya ada ya uhamisho.

Awali Fulham iliweka wazi kwamba haina mpango wa kumpiga bei fundi huyu lakini mchezaji amewaambia hataki tena kubaki kwenye timu hiyo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live