Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Misri yatanguliza mguu mmoja Qatar, yaichapa Senegal goli 1

Salah Egypt Mohamed Salah

Sat, 26 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni patshika ya kufa mtu katika michezo ya mtoano ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022.

Katika Uwanja wa Kimataifa Cairo Jijini Cairo,walikutana wana Fainali wawili wa AFCON 2021, Misri dhidi ya Senegal.

Wenyeji Misri wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Senegal, bao la kujifunga la beki wa Nancy ya Ufaransa, Saliou Ciss dakika ya nne.

Ushindi huo unawapa matumaini Misri ya kwenda kutafuta suluhu ugenini wiki ijayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live