Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miquissone akiwasha UD Songo

Luis 4 08 28 At 12.jpeg Miquissone akiwasha UD Songo

Wed, 28 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa UD Songo, Luis Miquisone, ameibuka kuwa mchezaji bora wa mechi (MOTM) kwenye mechi baina ya UD Songo na Costa De Solo iliyomalizika kwa sare ya 1-1 kwenye mechi ya ligi kuu ya nchini Msumbiji ambapo Luis Miquisone alifunga goli la kuongoza dakika ya 9 ya mchezo kabla ya Costa De Solo kusawazisha dakika ya 90 kupitia kwa Richard Mbulu.

Kiungo wa UD Songo, Luis Miquisone, ameibuka kuwa mchezaji bora wa mechi (MOTM) kwenye mechi baina ya UD Songo na Costa De Solo iliyomalizika kwa sare ya 1-1 kwenye mechi ya ligi kuu ya nchini Msumbiji ambapo Luis Miquisone alifunga goli la kuongoza dakika ya 9 ya mchezo kabla ya Costa De Solo kusawazisha dakika ya 90 kupitia kwa Richard Mbulu. Konde Boy amekuwa akipambana kurejesha makali yake ambayo yalipotelea nchini Misri alipopigwa benchi alipokuwa akiitumikia Al Ahly baada ya kusajiliwa na kocha wa wakati huo Pitso Mosimane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live