Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Minziro kutambulishwa Prisons

Minziro Felix Kataraia.jpeg Felix Minziro

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama mambo yatakwenda yalivyopangwa kuna uwezekano mkubwa kocha Fred Felix ‘Minziro’ akatua Tanzania Prisons.

Taarifa za uhakika zinasema kuna mazungumzo yanayoendelea ya mkataba baina yake na viongozi wa timu hiyo, ambayo yanafanyika mkoani Dodoma.

Msimu uliopita Minziro alikuwa Geita Gold ambayo ilimaliza katika nafasi ya sita, lakini ikampa mkono wa kwaheri, wakati Prisons ilikuwa na Abdallah Mohamed ‘Bares’ anayetajwa kusaini Mashujaa ya Kigoma iliyopanda Ligi Kuu msimu ulioisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live